usofu Member Joined May 19, 2011 Posts 16 Reaction score 1 May 25, 2011 #1 Habari zenu wana JF, nina tatizo linalonikabili nikitembea asubuhi nawashwa sana miguu na mapaja.Hii inasababishwa na nini?
Habari zenu wana JF, nina tatizo linalonikabili nikitembea asubuhi nawashwa sana miguu na mapaja.Hii inasababishwa na nini?
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 May 25, 2011 #2 Kwakuwa umetoka kulala na kulikuwa hamna mzunguko mkubwa wa damu mwili unajaribu kuikabili hali hii mpya ya damu kuzunguka haraka na misuli pia.
Kwakuwa umetoka kulala na kulikuwa hamna mzunguko mkubwa wa damu mwili unajaribu kuikabili hali hii mpya ya damu kuzunguka haraka na misuli pia.
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,713 Reaction score 1,265 May 25, 2011 #3 pole sana, RIWA atakuja muda si mrefu akupe ushauri nasaha.
usofu Member Joined May 19, 2011 Posts 16 Reaction score 1 May 25, 2011 Thread starter #4 Thanks wadau,now nimepata mwanga
U UNIQUE Senior Member Joined Mar 31, 2011 Posts 180 Reaction score 21 May 27, 2011 #6 Kama mwenzangu alivyosema damua yako na body fluids havitembei vizuri kwa hiyo jitahidi utumie maji hai yaani bio water yanayotengenezwa kwa bio disc inayopatikana www.qnet.net. niandikie private maill ama nipe nambayako ya simu. UNIQUE
Kama mwenzangu alivyosema damua yako na body fluids havitembei vizuri kwa hiyo jitahidi utumie maji hai yaani bio water yanayotengenezwa kwa bio disc inayopatikana www.qnet.net. niandikie private maill ama nipe nambayako ya simu. UNIQUE