Hakuna lisilowezekana chini ya jua wengine wanaishi nao ndio wanatoa mahari wengine wanatoa Kisha ndio wanaishi nao n.k yani mbona kama wewe wachache kabisa na unaonekana ni good boy go on pata mwenza
sasa mkuu umeweza kutoa hadi mahari ushindwe kumaliza harusi.!maana harusi ni ya siku moja tu tena masaa machache tu matatu au manne ndugu wanakula na kunywa mziki kidogo kisha watu wanatawanyika makwao na ndoa ni maisha ya miaka yote.