Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 83
Wakuu,
Nimekuwa nikitumia NERO 7 Essential lakini mara nyingi nikiandika files katika fomati ya VCD na mara nikicheza mafile hayo katika DVD player basi sauti inakuwepo kwa dakika 2-4 tu za mwanzo na baada ya hapo sauti inapotea kabisaaaaaaa! Inabakia moving pictures tu bila sauti. Ila VCD hiyo hiyo nikicheza kwa kutumia PC inatoa sauti mwanzo mpaka mwisho! Hii Nero nina product key yake na bado ni valid.
Je, tatizo litakuwa ni nini? Naomba msaada wenu wakuu!