Lasix ni dawa inayokufanya upoteze maji mwilini kwa njia ya mkojo na pia kupoteza potassium katika mwili. Potassium Ina umuhimu katika kusaidia electrical activity ya misuli, moyo. Ndizi Ina potassium kwa wingi na hivyo ndo maana daktari alikushauri kula angalau kukusaidia ku-supplement the potassium needs for your body