Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Dec 1, 2023 #21 Itabidi uolewe ww
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Dec 1, 2023 #22 Ukute kuna mwamba kaja likizo ya mwisho wa mwaka,ambaye anapendwa kuliko wewe,na ilishindikana kumuoa mkeo labda kwasababu mkeo alikua mhuni,amekuta umemuoa,hivyo wanakumbushia.Tulia hivyohivyo kibwege.
Ukute kuna mwamba kaja likizo ya mwisho wa mwaka,ambaye anapendwa kuliko wewe,na ilishindikana kumuoa mkeo labda kwasababu mkeo alikua mhuni,amekuta umemuoa,hivyo wanakumbushia.Tulia hivyohivyo kibwege.
A43 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 379 Reaction score 792 Dec 1, 2023 #23 Kum n kum tu haiwez kuwa tunda .... Tunda gan sasa.... Kuitazama tu mda mrefu inatisha mzee
City Of Lies JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 4,925 Reaction score 6,137 Dec 1, 2023 #24 Frank Wanjiru said: Mtafutie mke mdogo,yeye apande cheo awe mke mkubwa. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama ni kweli anafokewa, hana jeuri hiyo mkuu.
Frank Wanjiru said: Mtafutie mke mdogo,yeye apande cheo awe mke mkubwa. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama ni kweli anafokewa, hana jeuri hiyo mkuu.