Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

Tanzania inahitaji wakina Magufuli wengine wengi zaidi.
 
HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Hakuwa na hicho kipaji. Hakuna mtu anayeweza kufahamu na kuendesha serikali yote inavyotakiwa. Alichokuwa nacho ni confidence iliyopitiliza kiasi cha kutojali kuvuruga mifumo na taratibu zote za utawala bora na makini.

Kwa jinsi Tanzania ilivyo leo, mtu yeyote mwenye kujiamini anaweza kufanya chochote, kusema chochote na akasifiwa sana kiasi cha kutukuzwa kama mtume na nabii huku wafuasi kibao wakipambania legacy yake!
 
Zaidi ya UJINGA na kupumbaza watu wasiojielewa na slogan ya UNYONGE hakuna kingine.
 
😅😅kweli
 
Ameacha amepandikiz maharamia ndani na nje ya mifumo ya serikali. Kufutika itachukua muda mrefu sana.
 
HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Kuna watu walimwezesha kuwa vile. Sijui leo wanajisikiaje.
 
Alikuwa binadamu abadan hakuwa nabii. Binadaamu n ana up ande wa wema na ubaya. Nabii hapana

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Nchi imeharibika ssna. Lakini siyo kosa la Magufuli. Magufuli alikuwa benevolent despot, a very clever person. Kila wakati anasema ukiwaonea watu,watakuadhiri siku ya kura. Alikuwa hysterical kuhusu hilo jambo. Ukiwaonea watu unaweza vipi kwenda kuwaomba kura.
Lakini hawa viongozi wengine hawaoni sa babu ya kupanic kuhusu raia wakati zipo gari za kurusha maji
ya pilipili. Wanamuona Magufuli alikuwa too idealistic. Kiongozi hawezi wala hapaswi kutaka kuwapendeza wananchi wote. Angalia hii spichi yake ya mwisho katika kituo cha mabasi Ubungo. He was talking and people were flinching.
Lakini watu walipotaka kumuiga Magufuli,watu tàahira wanapotaka kumu iga. Magufuli ndio matatizo yetu yanapoanza.
Nchi imejaa madikteta,left,right and centre.
Ufikteta umezidi katika nchi hí. Hatuwezi kurebisha. Heads will roll.
The road to hell is paved with good intentions. People are not interested in what the law says, they just want you to stop sinning.
 


sasa kama mama yako hakuogopa kukuzaa mpaka unaandika ujinga huu na zombie wenzako wana ku support, pole
 
Magu amevuruga Taifa kumpa ile nafasi kosa kubwa sana .....la karne ameondoka na mikono yake ina damu....
 
Hofu kubwa ni alivyo imaliza Chadema kutoka kuwa chama cha Kitaifa na kubaki kuwa chama cha Mkoa wa Rukwa. Na kusaidia wabunge 18 kwa ajili ya kurekebisha mahusiano na nchi za nje.

Magufuli kiboko ila amefanya kazi nusu kwa miaka 5 ya kwanza, kwa kutubakizia Mbunge mmoja , awamu hii ilikuwa asafishe kweupe asibakize Mbunge hata mmoja wa Vibaraka wa Shoga Amsterdam.
 
Ni kweli Magufuli aliwapa hofu sana mafisadi, wahujumu uchumi, wauza unga, majambazi, mawakala wa mabeberu, watumishi hewa na vyeti feki. Alikuwa faraja kubwa kwa wanyonge Kama wamachinga na mama lishe.
Ni wakati pekee wanyonge walikuwa na furaha na nchi yao baada ya miaka mingi ya manyanyaso toka kwa matajiri waliokuwa wameiweka serikali mikononi mwao. Si ajabu hata walioomboleza kifo chake kwa uchungu ni hao hao wanyonge.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe kila article yako ni kumnang’a Magufuli. Inatakiwa u move on la sivyo utakuwa zezeta tu. Mtu kakofia nahangaika naye wa nini?
 
Hivi ule uzio wa muda wa mabati katika kabiri lake ulishaondolewa na kuwekwa mwingine wenye hadhi ya cheo chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…