Kwa hili jibu sidhani kama atarudi tena.Sababu anajadiliwa mungu wenu
Kwahiyo wewe furaha yako ni kuona fisadi ananyolewa mchana kweupee na si wewe kupata maendeleoAkili ndogo kweli kweli. Akili ndogo kama hii huwaza hofu, wenye akili kubwa tunawaza:-
1. Uchumi wa kati.
2.Wakuu wa Idara na Taasisi za umma kupata posho ya madaraka kila mwezi.
3.Ikulu kuhamia Dodoma.
4. Mafisadi kunyonyolewa mchana kweupe.
5.Flyovers.
6. Bwawa la Umeme la mwl.Nyerere nk.
Hivyo vita alikuwa anapigana na nani huyo komando wenu wa kisukuma!!!JPM alikuwa Commando wa vita. Siyo kama sasa tunakwenda ki uji uji hivi.
Magufuli ameleta awareness kubwa sana kwa Watanzania juu ya mambo mengi yawahusuyo wao binafsi na taifa kwa ujumla.
JPM alikuwa Commando wa vita. Siyo kama sasa tunakwenda ki uji uji hivi.
Commando wa kura za bandia.JPM alikuwa Commando wa vita. Siyo kama sasa tunakwenda ki uji uji hivi.
Mwenzetu kumbe unaweza kutabili kesho yako?HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Mpumbavu mama yakoMleta uzi jipige kifuani mara saba uku ukisema" mimi ni mpumbavu".
Hivi huyo mungu ni mungu gani ambaye anashindwa kuiondoa ccm ambayo ndio mzizi wa tatizo?Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Mrema ni mtu wa system ameshafanya yake na sasa wengine wanafanya yao.Upinzani uchwara ni wa aina gani?
Nani mpinzani Uchwara kati ya Lyatonga Mrema na Mbowe?
Maana alimwaga damu ya Mwangosi,Ulimboka,akagawa gesi kwa wazungu nakuipeleka iliyobaki Bagamoyo nyumbani kwake.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Maana alimwaga damu ya Mwangosi,Ulimboka,akagawa gesi kwa wazungu nakuipeleka iliyobaki Bagamoyo nyumbani kwake.
Siku zote wanaokimbilia kutukana lazima wana matatizo katika kukamilika kwa ubinadamu wao. Mwenye akili hutoa hoja, siyo kuporomosha matusi. Unapotukana, maana yake unawatangazia watu kuwa wewe ubinadamu wako haujakamilika. Jukwaa hili ni la watu wenye akili timamu, watu wanaoweza kujadili hoja.Sasa hapo huoni kama wewe ndio mpumbavu?
Hivi kwanini huchukulii Rais kama taasisi.?