mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hili nakubaliana na weweHuyu Mwamba hata Nyerere cha mtoto
Jiwe alijifanya mwamba na akaamini ushirikinal badala ya science mwisho wa siku corona ikampiga chini. Thanks God kwa kuingilia kati.Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi mbalimbali ya corona waligonga mwamba na wakakata tamaa kabisa! Kufikia hapa hata mawakala wakubwa wa corona mashairi ya corona yameshawaishia!! Asante sana Mungu wa Mbinguni kutupatia Rais Magufuli kwa wakati muafaka na kwa JUKUMU MAALUMU. Alipolikamilisha ukampumzisha. Hakuna anayerweza kubatilisha kazi aliyoifanya Magufuli.
Mafisadi utawajua tu. Kuna kundi kubwa la mafisadi na familia zao wana chuki kubwa sana kwa Maqgufuli. Watukome! Kuna kundi kubwa pia la wenye vyeti feki na familia zao pia lina chuki kubwa. Hawa hawana sababu yenye haki ya kumchukia!! Kusema ukweli hawa wameitia hasara sana nchi yetu. Enzi za Magufuli UONEVU makazini ulikwisha kabisa. Miungu watu makazini walikwisha, ukiingia ofisini unaheshimika. Uonevu wa polisi ulikwisha na sasa hivi unarudi kwa kasi!! Asante Mungu kwa kutupa zawadi ya Magufuli kwa wakati muafaka!Na bado mtamuimba Sana lkn hafufuki ng"o!!
Hili zimwi a.k.a dikteta lenu hv sasa linateseka huko liliko.
Usirudie kulitaja tena hapa jukwaani
Mask wanavaaga tu kwenye vikao mbele ya kamera ili kuwafurahisha mabwana wakubwa wa kibeberu !!! Mtu anatoka nyumbani kwa daladala iliyojazana bila mvaaji wa barakoa. Akifika kwenye kikao mbele ya kamera anavaa barakoa. Mama naye anavaa barakoa ahutubiapo mbele ya kamera. Masharti ya pesa za corona hayo!!!Watapinga😂😂 hii Dunia bn ila hawavai mask
Madaktari waliokuwa wanamtibu waliithibitishia dunia kuwa Magufuli alikufa kwa tatizo la moyo. Alikuwa na kifaa cha kusaidia mwendo wa mapigo ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi. Ila mafisadi mnambambikia corona na Mungu anawaona!! Magufuli alimwamini Mungu wala siyo ushirikina na dunia yote inajua hivyo. AQlituongoza watanzania kumtanguliza Mungu mbele kwenye vita ya corona na ushindi ulipatikana na mpaka leo wakati dunia inahangaishwa na mawimbi mbalimbali ya corona Tanzania tuko salama japo HATUVAI BARAKOA WALA HATUJACHANJA NA HATUTAKI KUCHANJA UKIWAMO NA WEWE!!Jiwe alijifanya mwamba na akaamini ushirikinal badala ya science mwisho wa siku corona ikampiga chini. Thanks God kwa kuingilia kati.
Haikosi wewe ni fisadi au nmtoto wa fisadi au ulikuwa na vyeti feki au mzazi wako alikuwa na vyeti feki, maana si kwa povu hili!!Na bado mtamuimba Sana lkn hafufuki ng"o!!
Hili zimwi a.k.a dikteta lenu hv sasa linateseka huko liliko.
Usirudie kulitaja tena hapa jukwaani
Japi sikuwa nampenda magu but plz tumwache apumzike kwa amaniWakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi mbalimbali ya corona waligonga mwamba na wakakata tamaa kabisa! Kufikia hapa hata mawakala wakubwa wa corona mashairi ya corona yameshawaishia!! Asante sana Mungu wa Mbinguni kutupatia Rais Magufuli kwa wakati muafaka na kwa JUKUMU MAALUMU. Alipolikamilisha ukampumzisha. Hakuna anayerweza kubatilisha kazi aliyoifanya Magufuli.
Hadi sasa wamekuja kwa kubadili gia angani matokeo yake hata machanjo yanazidi kuwafia tu. Chanjo kampeni zimewadodea. Watanzania wamegoma kabisa. Hata wauguzi wanalazimishwa kuwachanja watu hawakuchanja. Hili kwa kweli ni somo kubwa sana. Mama kadharaulika sana kwa muda mfupi. Na eneo limemshusha ni pamoja na corona.Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi mbalimbali ya corona waligonga mwamba na wakakata tamaa kabisa! Kufikia hapa hata mawakala wakubwa wa corona mashairi ya corona yameshawaishia!! Asante sana Mungu wa Mbinguni kutupatia Rais Magufuli kwa wakati muafaka na kwa JUKUMU MAALUMU. Alipolikamilisha ukampumzisha. Hakuna anayerweza kubatilisha kazi aliyoifanya Magufuli.
HahahaaaaNa bado mtamuimba Sana lkn hafufuki ng"o!!
Hili zimwi a.k.a dikteta lenu hv sasa linateseka huko liliko.
Usirudie kulitaja tena hapa jukwaani