Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

Mleta hoja acha kuongea upuuzi bin ujinga bin utopolo!
Unajua namna ndugu zetu walivyokufa na kuzikwa kama mizoga?
Naamini ungekuwa na akili timamu usingeongea huu upumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…