Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Wadau,
Kama nikiuza bidhaa zangu, hasa online kwa lipa namba za Mpesa, Tigopesa au whatever, je, VAT au kodi inajikata yenyewe na mimi kubakiwa na changu (kwa maana mtandao wa simu ndio utawasilisha kodi TRA) au nitatakiwa kulipa kodi kwa ile hela iliyoingia kwangu?