Nikivaa kinga nachelewa sana kumwaga, je hili ni tatizo?

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Habari za weekend wana JF,

Ni hivi kuna hali imenitoka pindi ntakapofaya mapenzi kwa kutumia kondom huwa nachelewa sana kumwaga shahawa ila nisipotumia Kinga dakika 15 tu nakojoa ila ikivaa daaah mpka lisaaa limoja linaisha sijpiz .

Naomba kujuzwa ni tatizo au ni hali ya kawaida la mwanzoni hii hali ilikua haipo. Mwanzoni nilishajaribu kwa wasichana wanne tofauti hali ni ile ile.

Shukrani wadau nawasilisha hoja.
 
unapofanya ngono ukivaa mpira ile friction ya ngozi na ngozi inakuwa haipo...kwa hyo usipovaa unapata friction ambayo inakufanya ukojoe fasta kumbuka Mungu hakumuumba mwanadamu atumie kondom bali uzinzi ndio umeleta hizo kondomu.
 
Kwa hiyo ndo umeandika nn!? Au unajitangaza kuwa wewe kazi yako ni Uzinifu! Wanawake wa4 ndio nn! Watu tuna stress zetu acha upuuzi
 
Sasa hao wanne walikua ni kwa ajili ya majiribia au ni katika kurandaranda kwako pia?
 
Usisahau mkuu kutuletea mrejesho baada ya kuacha kutumia condom.....
Hiv.
 
Uzinzi au ufanyaji ngono sio sifa,
 
Kwani huwa una harakia wapi? Wengine tunatamani 'kuchelewa', mwenzetu unataka 'kuwahi' kama kuku!
 
Siyo tatizo bali ile ladha na hisia za nyama kwa nyama zinakuwa hakuna.
 
Et wanawake 4, umeshakuwa mbuzi? Uko kichwan kwako umejaza uzinz tu na practical zako za kipumbavu. Anza kufikiria sasa jinsi ya kuboresha kwanza kipato chako sio kuwah au kuchelewa.

Tafuta pia mmoja na utulie nae vinginevyo ukipata ukimwi au vvu uanzshe pia Uzi mwingine hapahapa
 
Huo uboya. Unajisifia ujinga. Afu ttzo lako dgo sana ila umeshindwa kulitambua,pimbi kweli weh.
 
wengine mpaka kinga inaishiwa mafuta una badili nyingine mkuu
 
Yote tisa, kumi ni stamina yako. Bila kondomu no dak 15 na ukitumia kondomu lisaa!
Hakutokei mchubuko hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…