Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

Kanawashwa vitu vingine na sio mapaja au makalio.
 
Duh kweli kazi huyu mtoto wakati kana btw 3-5yrs akilikuwa na akili na nidhamu nzuri sema mama yake alikuwa waruwaru fulani....malezi jamani muhimu kwa watoto wetu. Mungu ampe Roho mt. ili aweze kuwa na busara na hekima.
 

Ujana maji ya moto

Kumbe ni haka kabinti...jamani ukikosa wa kukuelekeza vizuri utaishia pabaya! She is beautiful girl...nafikiri ni wale walio karibu naye especially wazazi wana nafasi kubwa kwa huyu binti!
 
kitoto kinasadiki sana ngono hiki, kichwani wenzako wana ubongo wewe una pumba.
 
ni umalaya tu,na lana yamungu itaendelea kumshukia kama ambavyo imeshamshukia sasa.

jamaninaona midomoni kajaa mavidonda alafu kafukia na lips mmmh watwaua wengi kwa styl hii
 
Nguo anazovaa na kununua huwa zina UPUPU kuanzia Mapajani kwenda chini so Tumwache avae. ''WAZAZI WAKE WAPO"?? WanaJF nijuvisheni!
 
Baadaye tutamsikia amechukua jimbo flani au ni Mbunge wa kuteuliwa.....Hii ndiyo Tanzania bana
 
Akifunika kichwa na hizo nywele za dukani vipi hakiwashi nacho?
 


GAZETI LA GLOBAL PUBLISHER HIVI KARIBUNI LIMEJULISHWA NA MSANII LULU AKA MAMA MAUCHI KWAMBA SI YEYE BALI AKIVAA NGUO NDEFU MAPAJANA MAKALIO YANAWASHWA..KAZI KWAKO WEWE UNAWASHWA NINI UNAENGANGANA NA VAZI REFU??

Uwe mkweli sema nawashwa lile eneo nyeti la mashariki ya mbali.
 
kwahoyo muwasho unaanzia visogoni tu?
 


MSANII anayezidi kungara kwenye filamu mbalimbali Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amedai kuwa, anapenda kuvaa nguo fupi kwa sababu akivaa nguo ndefu anawashwa. Akizungumza na Ijumaa juzi ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, Dar es Salaam, Lulu alisema kuwa, hiyo ndiyo sababu kubwa ambayo inamfanya kila anapotoka avae nguo hizo za kihasarahasara.
“Yaani huwezi kuamini, nikivaa nguo ndefu, basi siku hiyo nitajikuna sana maana nitawashwa mwili mzima, kuanzia kiunoni, hasa mapajani kuelekea miguuni,” alisema msanii huyo na kuongeza:
“Ujue kuvaa kwangu nguo fupi siyo kwamba naiga kwa watu wengine, tangu nikiwa mtoto nilikuwa navaa hivyo na ndiyo maana kubadilika ni ngumu kidogo.”
Lulu ni msanii wa kike mwenye umri mdogo ambaye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kutokana na tabia yake ya kuvaa nguo fupi....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…