Nikivipi kusafiri kama kasi ya mwanga kunadhoofisha(kusimamisha)umri kwenda mbele..?

wew jamaa ni mashine mimi hizi medicine zimeniharibu skuizi....nilikuwa napenda sana physics....
 
Jiulize..Akisafiri kwa hiyo speed of light ataenda wapi!!??maana in solar system only earth supports life!!
Mpaka sasa inakadiriwa ni 5% ya universe ndo wameweza kui explore bado kuna 95% technology haijaruhusu kuielewa
 
Kasome Einstein theory of relativity.Ukisoma soma baadhi ya vitabu au hata uki search google.Utaelewa zaidi.
 
Nashidwa kuelewa nn ambacho mnasemea aise, nimetoka kapa
 
Wanasayansi wamegundua na wanagundua vitu vingi ila kwa theory hii mm kuamini ni ngumu..
 
Tangu saa tatu asubuhi ninaangalia kipindi cha extreme tommorow/next world cha discovery science. Kuna mambo makubwa ya kisayansi wanayaongea kama time traveller ugunduzi technology ya juu ya asimo robot, jetpol, human copy robot na ex skeleton robot.

Nimejifunza kwamba mpaka sasa machine zimetuzidi binadamu katika mathematics processing and storage, ila human intelligence bado ipo juu kuliko machine intelligence.

Mwanasayansi mmoja alikuwa anaeleza alivyoshangazwa star fish robot ilivyokuwa inajifunza motion zake yenyewe ingawa yeye ndio aliyoitengeneza.

Kifupi wanasema machine miaka ya baadae zinaweza kuwa our greatest future enermy na zinaweza kutu destroy ingawa machine can be part of human body to increase our capabilities.

Katika vitu vyote nilivyovitaja hii time travell ni theory tuu lakini vingine vipo ingawa technological trend inaonesha inaweza Kuwa halisi miaka ya baadae.
 
space “contracts” and time “dilates” (or slows). Some of the motion through space can be thought of as being "diverted" into motion through time (and vice versa), in much the same way as a car travelling north-west diverts some of its northwards motion towards the west. Thus, the dimensions of space and time affect each other, and both space and time are therefore relative concepts, with only the unvarying speed of light providing the bedrock on which the universe is built. This revolutionary idea flew in the face of the long-held notion of simultaneity (the idea that events that appear to happen at the same time for one person should appear to happen at the same time for everyone in the universe) and suggested that it was impossible to say in an absolute sense whether two events occurred at the same time if those events were separated in space.


Thus, one person’s interval of space is not the same as another person’s, and time runs at different rates for different observers travelling at different speeds. To some extent, the faster you go, the slower you age and the slimmer you are! The reason this is not obvious in everyday situations is that the differences at everyday speeds are infinitesimally small, and only really become apparent at speeds approaching that of light itself (“relativistic” speeds). The closer the speed of an objects approaches to the speed of light, the more warped lengths and time intervals become
C & P hope it is helpfully
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…