Nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 nitaweza kusimama?

Ni kweli kabisa, ila umeniacha hoi hapo kwenye za cement! Kwahiyo wabeba cement wajue wanaendesha mikweche [emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi naishi maeneo ya Tegeta, nimeshuhudia ajali nyingi za hayo magari yakiteremka mlima wa wazo.
 
Naomba mnifahamishe nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 alafu natakiwa nisimame umbali ambao sitaweza kupangua gear hadi kufika namba moja je nitafanyaje?

Msaada wenu tafadhali

Ukishaanza kuendesha utajua tu, usiharakishe
 
NAdhani huyu ni mmoja wa madereva wa automatic transmission. So ukimwambia maswala ya kupangua gia anaona kama kizungumti hivi
 
NAdhani huyu ni mmoja wa madereva wa automatic transmission. So ukimwambia maswala ya kupangua gia anaona kama kizungumti hivi

Ninahisi.

Inatakiwa awe karibu na mtu amfundishe sivyo anaweza kuua gear box au akapata ajali.

Na siku hizi wanafunzi wengi wa udereva ni wanawake, na wengi hawataki kufundishiwa gari ya manual, wanataka automatic
 
kama huwez pangua gia haraka just shika brake but Neva use clutch here gari litakuwa free just kanyaga brake tu ukihisi linazma ndo ukanyage clutch
 
Mzee gari gani hio mimi naweza vuta kutoka moja hadi tatu na hakuna tatizo
 

Mbona unaandika vice versa ...kwamba ukiwa no 5 engine inazunguka sana kuliko ukiwa no 1 ....🤔🤔 Kupangua gia hakupunguzi mizunguko ya engine bali kila ukipangua engine rpms zinapanda na ule mlio wà kuvuma unausikia

Na kusimama kwe emergency kama huezi pangua gia we dili na brake tu usikanyage clutch kabisa maana ndo utafanya gari liserereke vizur
 
Wewe ni DEREVA kweli mbona unauliza maswali ya kitoto sana??.
 
Alafu narudi namba moja
Utarudi namba moja au mbili na ukaondokea hiyo kutegemeana na uzima wa gari... kama hukusimama au ulikiwa kwenye mwendo pungufu ya mwanzo, itarudi kwenye gia iliyo proportional na mwendo husika kuzuia engine breaking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…