Nikiwa na hasira huwa nalia

Nikiwa na hasira huwa nalia

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Yaani na ndevu zangu na ukubwa huu lakini bado nikichukia naanza kulia, mfano juzi kati kuna mtu alinisingizia kitu ambacho sikufanya nikajikuta tu naanza kulia mbele za watu, baada ya kulia nikawa fiti.
 
Sasahivi anza mazoezi ya kushoto sasa maana itafika muda utachoka kulia.
 
yaani na ndevu zangu na ukubwa huu lakini bado nikichukia naanza kulia,

mfano juzi kati kuna mtu alinisingizia kitu ambacho sikufanya nikajikuta tu naanza kulia mbele za watu,

baada ya kulia nikawa fiti.


Mwanaume dhaifu ndio analia..!! Maana mwanaume ukiwa na tabia ya kulia lia, maana yake umeshindwa vita hata kabla ya vita kuanza..!! Maana yake ni dhaifu..!!
 
Dalili ya mvua ni ..........00
 

Attachments

  • 20240613_122601.jpg
    20240613_122601.jpg
    29 KB · Views: 6
Jiandae kuwa unapigwa na mkeo siku za usoni.Na utakuwa unalia..."mamaaa weee nakufaaa"..!
 
Back
Top Bottom