Yaani na ndevu zangu na ukubwa huu lakini bado nikichukia naanza kulia, mfano juzi kati kuna mtu alinisingizia kitu ambacho sikufanya nikajikuta tu naanza kulia mbele za watu, baada ya kulia nikawa fiti.
Mwanaume dhaifu ndio analia..!! Maana mwanaume ukiwa na tabia ya kulia lia, maana yake umeshindwa vita hata kabla ya vita kuanza..!! Maana yake ni dhaifu..!!