mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 293
- 510
Mwenzenu mimi ni mtu mzima kidogo maana kwenye 40 napeleza mitatu, kwenye mechi sina shida tangu nianze kuyajua mambo miaka ya 2001 nipo la tano huko.
Hizi tatu bila kwa mechi za ugenini ni masaa kadhaa wala si kukesha, mechi za ndani mbili bila kwa usiku mmoja tunaenda.
Kusudio la maada yangu ni kuwa nikipata la mchepuko siku hiyo tukiwa falagha ikitokea kamegoma kunyaduliwa, yaani ikitokea hata nimekakumbatia tu, naweza kutetemeka kama mtu kwenye home kali hapo hapo nitamruhusu aondoke hali inatulia.
Ikitokea ameruhusu nilale juu yake hata bila wote kuvua nguo yaani la kwanza najimalizi bila shida na hata tukikaa kwa muda nikianza tomasa kwa muda ka pili hako, na hii hali ni tangu naanza kujitambua mpaka sasa haijakoma.
Sasa wadau je, hilo ni tatizo au kuna wengine ambao wapi kama nilivyo mimi japo wengi naamini hawako hivyo.