Nikiwa namalizia chupa ya mwisho.

Nikiwa namalizia chupa ya mwisho.

kisikiji

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
2,530
Reaction score
2,494
Ilikua ni majira ya SAA saba kasorobo usiku, nikasikia sauti kichwani mwangu.
Inasema hapa kazi tu, ukinunua dai risiti, lipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya taifa.
Ghafla naona 10 10 na vijana was kangi wananambia muda umeisha tuende majumnani mwetu, nikawauliza ninyi na bosi wenu wrote nivichaa?.
Tutalipa vipi kodi na mnatufukuza zilipa efd?.
 
Ni vizuri ungesubiri pombe ziishe kichwani ndipo uje upost
 
Back
Top Bottom