Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke.

Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine

Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison.

Chanzo: Darmpya Blog

Leo ndiyo muanze kujua kuwa GENTAMYCINE nikiwa ninakemea Masuala huwa nakuwa sahihi na siyo kuwa nina Chuki.
 
Nahis hakuna mawasiliano ya moja kwa moja kati ya voongozi that's Y inakosekana kauli ya kujibeba isiyo na mashaka
Refer issue ya RB maestro,,,, official acc ya simbs sc ilisema tumemuuza, Ahmed Ally akasema mkataba uliisha tar 29 june
 
hakusema mtaba uliisha tarehe 29 june alimaanisha wameamachia sababu tarehe 29 ligi inaisha bwalya alisaini 3 years
 
Back
Top Bottom