nasri athumani
Member
- Jul 13, 2011
- 64
- 8
'Mapenzi kudumu'....sijakuelewa..yaan yanadumu alaf bado unatongoza unakataliwa???...au yanadumu vipi???...ukinijibu hayo nitarudi kukushauri..mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata nitongoze vip? Hw anakataa nakma akikubali hwa lazima asiwe muaminifu kwangu, kama si hivyo basi hwa tunatofautiana tabia!..nikienda kwa kwakujalibu(yaaan kwakutania)hwa malanyingi napata, namapenzi ye2 hwa yanadum!.,ivinikwanini hwa inanitokea?....
kuduma naamanisha hwa ananipenda sana!'Mapenzi kudumu'....sijakuelewa..yaan yanadumu alaf bado unatongoza unakataliwa???...au yanadumu vipi???...ukinijibu hayo nitarudi kukushauri..
mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata nitongoze vip? Hw anakataa nakma akikubali hwa lazima asiwe muaminifu kwangu, kama si hivyo basi hwa tunatofautiana tabia!..nikienda kwa kwakujalibu(yaaan kwakutania)hwa malanyingi napata, namapenzi ye2 hwa yanadum!.,ivinikwanini hwa inanitokea?....