Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha.
Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa tamko moja tu.
Nitaitambua nchi inayoitwa Tanzania, na nchi yangu itakuwa na mikoa bara na visiwani kwahiyo Zanzibar itakufa badala yake kutakuwa na mikoa mitano visiwani na Rais wa Zanzibar nitamteua kuwa mkuu wa mkoa mmoja wapo huko visiwani.
Nitaandaa vikosi kwaajili ya watakao bisha.
Hii nchi ni moja, watu wa bara watakwenda visiwani kununua ardhi na kujenga na wale wa visiwani watakuja huku.
Kitakuwa ni kipindi cha kilio na kusaga meno kwa yeyote atakaye pinga mpango huu. Ni lazima muungano wetu uzae nchi 1.
Najua ntapata watakao niunga mkono hata kama ni wanafiki hao hao watanipigia kampeni na kunisifu kwa mapambio, nitatengeneza kwaya toka bara na visiwani zitakazo imba wimbo wa Tanzania moja na mwisho mtanishukuru na historia haita nisahau.