Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Red black mtu wangu hebu sogeapo pande za huku.Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee kujenga gorofa
Huu ni mfano mdogo wa mambo mengi sana ya hovyo yanayoendelea sehemu mbalimbali za nchi ni aibu na tumekosa ustaarabu
Sasa njia ya kuondoa huu uholela ni wakati wa kuanzisha jeshi la mipango miji ambalo halitaruhusu mfano wa mtu niliyomtolea mfano kanunua nyumba ya kawaida na sasa anaongeza gorofa
Watanzania wanatakiwa wapitishwe kwenye moto kupitia kuanzishwa jeshi ambalo litakuwa na kazi zifuatazo
Jambo la kufahamu mambo mazuri yanagharama na kamwe Tanzania haiwezi kuwa mchi nzuri kama hamna mipango miji na kuingia gharama za mipango miji
- Litahakikisha hakuna mtu anajijengea anavyojisikia lazima afuate masterplanning
- Ambaye anafanya marekebisho ya nyumba atafuata utaratibu na anaendana na mipango miji
- Kuwatia nguvuni wote ambao hawafuati mipango miji
- Kuzuia ujenzi ambao haufuati mipango miji
Lazima uholela uondoke na wako watakaopinga ila ni lazima kuwa na jeshi la mipango miji
Tatizo lako bwana mdogo unaishigi na fantasies na illusion. Unadhanigi mambo ni rahis tu kihivyo. Una ndoto flani hivi za kipuzi. Posti zako za mwanzo mwanzo JF ulikuwa kabisa unatuambia eti ukiwa rais utahamisha ozone layer ya planet Jupiter na kuileta hapa Duniani.Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee kujenga gorofa
Huu ni mfano mdogo wa mambo mengi sana ya hovyo yanayoendelea sehemu mbalimbali za nchi ni aibu na tumekosa ustaarabu
Sasa njia ya kuondoa huu uholela ni wakati wa kuanzisha jeshi la mipango miji ambalo halitaruhusu mfano wa mtu niliyomtolea mfano kanunua nyumba ya kawaida na sasa anaongeza gorofa
Watanzania wanatakiwa wapitishwe kwenye moto kupitia kuanzishwa jeshi ambalo litakuwa na kazi zifuatazo
Jambo la kufahamu mambo mazuri yanagharama na kamwe Tanzania haiwezi kuwa mchi nzuri kama hamna mipango miji na kuingia gharama za mipango miji
- Litahakikisha hakuna mtu anajijengea anavyojisikia lazima afuate masterplanning
- Ambaye anafanya marekebisho ya nyumba atafuata utaratibu na anaendana na mipango miji
- Kuwatia nguvuni wote ambao hawafuati mipango miji
- Kuzuia ujenzi ambao haufuati mipango miji
Lazima uholela uondoke na wako watakaopinga ila ni lazima kuwa na jeshi la mipango miji
Kwan hamna mamlaka zinazo shuhulikia hizi kesi OSHA WapoSehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee kujenga gorofa
Huu ni mfano mdogo wa mambo mengi sana ya hovyo yanayoendelea sehemu mbalimbali za nchi ni aibu na tumekosa ustaarabu
Sasa njia ya kuondoa huu uholela ni wakati wa kuanzisha jeshi la mipango miji ambalo halitaruhusu mfano wa mtu niliyomtolea mfano kanunua nyumba ya kawaida na sasa anaongeza gorofa
Watanzania wanatakiwa wapitishwe kwenye moto kupitia kuanzishwa jeshi ambalo litakuwa na kazi zifuatazo
Jambo la kufahamu mambo mazuri yanagharama na kamwe Tanzania haiwezi kuwa mchi nzuri kama hamna mipango miji na kuingia gharama za mipango miji
- Litahakikisha hakuna mtu anajijengea anavyojisikia lazima afuate masterplanning
- Ambaye anafanya marekebisho ya nyumba atafuata utaratibu na anaendana na mipango miji
- Kuwatia nguvuni wote ambao hawafuati mipango miji
- Kuzuia ujenzi ambao haufuati mipango miji
Lazima uholela uondoke na wako watakaopinga ila ni lazima kuwa na jeshi la mipango miji
Ni hatari sana kuwa na mawazo kama ya Rais denis robert Shughuli huyu hayupo sawa.Tatizo lako bwana mdogo unaishigi na fantasies na illusion. Unadhanigi mambo ni rahis tu kihivyo. Una ndoto flani hivi za kipuzi. Posti zako za mwanzo mwanzo JF ulikuwa kabisa unatuambia eti ukiwa rais utahamisha ozone layer ya planet Jupiter na kuileta hapa Duniani.
Bongo hii wapo mashushu wa usalama wa taifa tu, ila issue za usalama wa raia na maendeleo ya jamii hamna kazi.Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee kujenga gorofa
Huu ni mfano mdogo wa mambo mengi sana ya hovyo yanayoendelea sehemu mbalimbali za nchi ni aibu na tumekosa ustaarabu
Sasa njia ya kuondoa huu uholela ni wakati wa kuanzisha jeshi la mipango miji ambalo halitaruhusu mfano wa mtu niliyomtolea mfano kanunua nyumba ya kawaida na sasa anaongeza gorofa
Watanzania wanatakiwa wapitishwe kwenye moto kupitia kuanzishwa jeshi ambalo litakuwa na kazi zifuatazo
Jambo la kufahamu mambo mazuri yanagharama na kamwe Tanzania haiwezi kuwa mchi nzuri kama hamna mipango miji na kuingia gharama za mipango miji
- Litahakikisha hakuna mtu anajijengea anavyojisikia lazima afuate masterplanning
- Ambaye anafanya marekebisho ya nyumba atafuata utaratibu na anaendana na mipango miji
- Kuwatia nguvuni wote ambao hawafuati mipango miji
- Kuzuia ujenzi ambao haufuati mipango miji
Lazima uholela uondoke na wako watakaopinga ila ni lazima kuwa na jeshi la mipango miji
Ntaanzisha artificial ozone layer laboratory na lazima ntaanzisha jeshi la mipango mijiTatizo lako bwana mdogo unaishigi na fantasies na illusion. Unadhanigi mambo ni rahis tu kihivyo. Una ndoto flani hivi za kipuzi. Posti zako za mwanzo mwanzo JF ulikuwa kabisa unatuambia eti ukiwa rais utahamisha ozone layer ya planet Jupiter na kuileta hapa Duniani.
OSHA wangekuwa wanahusika na mipango miji tusingekuwa na squatter kila kona ya nchiKwan hamna mamlaka zinazo shuhulikia hizi kesi OSHA Wapo
Umewai tu kuwaza, kuwa mtulivu Kwa Sababu Taarifa haija wafikia wahusika
We endelea kuamini unachoamini sababu una uhuru huoNdio maana mimi na wewe huwa tunatofautiana sana kimitazamo. Ndio maana nilikwambia hufahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi.
1. Hii nchi wilaya zote na Mikoa Yote kuna idara ya Mipango miji. Chini ya wakurugenzi n wakuu wa Idara, watumishi hawafanyi wajibu wao kazi yao ni kuwasha wifi na kupiga umbea. Hii ndio CCM.
2. Mwalimu Nyerere alianzisha Mamlaka maalumu ya Kuendeleza Mji wa Dodoma makao makuu ya Nchi.
(CDA) Capital city Development authority.
Chini ya Sir George Kahama lakini wapi, NIGERIA WAKAENDA KU COPY MASTER PLAN YETU NA KUIPELEKA ABUJA.
3. Kuna vyuo kabisa vinadeal na Masuala ya Mipango miji kama Chuo cha Mipango Dodoma, Ardhi nk.
4. Kwa hizi akili ulizonazo sitashangaa ukianzisha Jeshi la Mapazia.
Vizuri vinagharamaUtakuja kufanya bei ya makazi kuwa juu sana.
Leo ndiyo nafunguka ubongo kumbe Nigeria ndiyo walicopy Master Plan yetu kwa Abuja ,muda wote nilikuwa nadhani Master Plan ni copy and paste ya AbujjaNdio maana mimi na wewe huwa tunatofautiana sana kimitazamo. Ndio maana nilikwambia hufahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi.
1. Hii nchi wilaya zote na Mikoa Yote kuna idara ya Mipango miji. Chini ya wakurugenzi n wakuu wa Idara, watumishi hawafanyi wajibu wao kazi yao ni kuwasha wifi na kupiga umbea. Hii ndio CCM.
2. Mwalimu Nyerere alianzisha Mamlaka maalumu ya Kuendeleza Mji wa Dodoma makao makuu ya Nchi.
(CDA) Capital city Development authority.
Chini ya Sir George Kahama lakini wapi, NIGERIA WAKAENDA KU COPY MASTER PLAN YETU NA KUIPELEKA ABUJA.
3. Kuna vyuo kabisa vinadeal na Masuala ya Mipango miji kama Chuo cha Mipango Dodoma, Ardhi nk.
4. Kwa hizi akili ulizonazo sitashangaa ukianzisha Jeshi la Mapazia.
Mipango miji ni swal la nchi na sio mtu binafsiSio lazima uwe rais ndio uweze kuisaidia nchi Yako. Hayo mawazo Kama yangekua mazuri yangeanza kukusaidia wewe mwenyewe
Usiishi kwa kukariri maishaLearn the system,
The system focus on winning the next election not struggling with individual
Same to you if you try to join, the system will convert your ambition to winning the game continuously 🤔
Kuna short clip nilikuwa nime iunganisha kwenye iyo comment imefeli kuwa uploadedUsiishi kwa kukariri maisha