Nikiwa Rais wa CAF nafuta mashindano ya Africa Football League (AFL)

Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Moron and Bipolar Case Mmoja Wewe?
Moron and bipolar case
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabla hujatamani kuwa Rais wa CAF, kwanza ungeanza mchakato maalum wa kuachana na wivu wa kitoto. Simba haiko hapo kwa bahati mbaya, ilipambana kuwa hapo kwa juhudi, pesa na maarifa.

Ova
 
Mashabiki wa mikia utoto mwingi. Ndio maana tunawaambia ina mashabiki vichaa na watoto. Ona pale sijui ni mtu mmoja anajipigia pande mwenyewe?
 
Kabla hujatamani kuwa Rais wa CAF, kwanza ungeanza mchakato maalum wa kuachana na wivu wa kitoto. Simba haiko hapo kwa bahati mbaya, ilipambana kuwa hapo kwa juhudi, pesa na maarifa.

Ova
sAwa nitaanza huu mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…