Nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nakubaliana na hili wazo, Mungu aibaliki Tanzania yetu
 
Mwenge ni wa kuondolewa kabisa. Ni ushirikina ule.
 
Mwenge ni wa kuondolewa kabisa. Ni ushirikina ule.
Base kwenye mwanga wake, mwanga ni nuru ya kuondoa kiza na machafu mengi ya sirini. Lakini pia maazimisho hayo yatakuwa yakifanyika kila baada ya miaka miwili katika mkoa mmoja tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…