Hakuna haja ya kuchimba madini kama bado tunayapeleka kama kipindi cha ukoloni, hata kipindi cha biashara na waarabu wazee wetu walichimba na kuuza madini yakiwa yameshachakwatwa.
Mimi binafsi naona Serikali ingekazia kwa miaka kumi katika sekta zifuatazo
-Elimu- kuzaliaha wataalamu na kuwauza nje
Mawazo zaidi
Mimi binafsi naona Serikali ingekazia kwa miaka kumi katika sekta zifuatazo
-Elimu- kuzaliaha wataalamu na kuwauza nje
- Kilimo cha kisasa
- Ufugaji samaki
- Ufugaji wa wanyama(ngombe na n.k)
- Utalii wa ndani ya Afrika, nje ( hapa ni kuweka mikakati ya kuutangaza utalii ambao utaunganishwa moja kwa moja na air Tanzania( tukitoa fursa kwa wanafunzi wa nje kuja kufanya tour )
- Usafirishaji
Mawazo zaidi