Nikiwahi kulala nachoka!

Nikiwahi kulala nachoka!

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Huwa nakuwa mchangamfu na nguvu ikiwa tu kama NILICHELEWA KULALA. Nikilala saa 23:30 au 23:45... usiku na kuamka saa 05:20 huwa najisikia vizuri sana siku inayofuata. Je kwa nini? Na je kuna madhara?
 
Back
Top Bottom