K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Apr 25, 2012 #1 Huwa nakuwa mchangamfu na nguvu ikiwa tu kama NILICHELEWA KULALA. Nikilala saa 23:30 au 23:45... usiku na kuamka saa 05:20 huwa najisikia vizuri sana siku inayofuata. Je kwa nini? Na je kuna madhara?
Huwa nakuwa mchangamfu na nguvu ikiwa tu kama NILICHELEWA KULALA. Nikilala saa 23:30 au 23:45... usiku na kuamka saa 05:20 huwa najisikia vizuri sana siku inayofuata. Je kwa nini? Na je kuna madhara?