Nikiwakumbuka akina John Guninita, Sukwa Saidi Sukwa, James Mbatia nashindwa Kabisa kuwalinganisha na Vijana wa sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita

Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu

Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la CHADEMA na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo

Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli

Baadae Mlale Unono 😀
 
Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita

Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu

Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la Chadema na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo

Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli

Baadae Mlale Unono 😀
Hawa ndiyo zaidi ya zero ni negative ni wajinga haswa
 
Nimeamua kukusamehe bure kabisa tu kulingana na umri wako kuwa mkubwa japo hujiheshimu na kuheshimu umri wako na kujuwa nini ufanye na kipi usifanye.

Amani ya Bwana iwe pamoja nawe.
 
Vitabu vya Historia vinamtaja Sukwa Said Sukwa kuwa Mwanaccm wa kwanza kuangushwa na Upinzani Nchini Tanzania, Alidondokea pua kwenye Uchaguzi wa kwanza wa vyama ving huko Pembai, Matokeo ya Uchaguzi ule yalitolewa saa 7 Mchana baada ya swala

Aliangushwa na chama cha CUF

Alikuwa Miongoni mwa Wanaccm waliokuwa na Kiherehere labda kuliko mwanaccm yeyote aliyepo sasa, huku akidhani atakuwa kiongozi milele, Kwenye kipengere cha kiherehere alifuatiwa kwa karibu na Komando Salmin Amour
 
Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita

Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu

Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la Chadema na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo

Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli

Baadae Mlale Unono 😀
Acha uchawa na unoko basi!
 
Sukwa walikuwa na Mbowe UVCCM enzi zile 😂😂😂
 
Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita

Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu

Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la Chadema na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo

Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli

Baadae Mlale Unono 😀
Now a days vijana wengi ni machawa, yaani ni mwendo wa kichawachawa tu....
 
Sukwa Said Sukwa ndio yule aliyemkejeli Makongoro Nyerere kwa kumwambia ana uhakika gani kuwa Nyerere ni Baba yake Mzazi kwani wanawake wana mengi?.

Alikuwa mzenji mmoja, kapotelea wapi?.
 
Back
Top Bottom