johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawa ndiyo zaidi ya zero ni negative ni wajinga haswaKiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita
Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu
Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la Chadema na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo
Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli
Baadae Mlale Unono π
CCM walihujumuHa haaa Sukwa Said Sukwa na mradi wa basi kwa wanafunzi mkoa wa Dar Es Salaam..ambao mwisho wa siku uliangukia pua kama kawaida yao
Kwa hiyo CCM ndio imekuhujumu wewe hadi kutokuwa na akili?CCM walihujumu
Kaa kimya wenye akili tujadiliKwa hiyo CCM ndio imekujukumu wewe hadi kutokuwa na akili?
Wewe ndiye ungekaa kimya uache wenye kujitambua wajadili hoja hizo ya hovyoKaa kimya wenye akili tujadili
Nakushauri ukae kimya huwezi kuchangia kitu hapaWewe ndiye ungekaa kimya uache wenye kujitambua wajadili hoja hizo ya hovyo
Acha uchawa na unoko basi!Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita
Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu
Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la Chadema na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo
Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli
Baadae Mlale Unono π
Sukwa walikuwa na Mbowe UVCCM enzi zile πππVitabu vya Historia vinamtaja Sukwa Said Sukwa kuwa Mwanaccm wa kwanza kuangushwa na Upinzani Nchini Tanzania, Alidondokea pua kwenye Uchaguzi wa kwanza wa vyama ving huko Pembai, Matokeo ya Uchaguzi ule yalitolewa saa 7 Mchana baada ya swala
Aliangushwa na chama cha CUF
Alikuwa Miongoni mwa Wanaccm waliokuwa na Kiherehere labda kuliko mwanaccm yeyote aliyepo sasa, huku akidhani atakuwa kiongozi milele, Kwenye kipengere cha kiherehere alifuatiwa kwa karibu na Komando Salmin Amour
Now a days vijana wengi ni machawa, yaani ni mwendo wa kichawachawa tu....Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita
Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu
Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio tegemeo la Chadema na yule aliyejiteka mh Nondo ndio tegemeo la ACT Wazalendo
Siasa za Bongo ziko ICU kwa kweli
Baadae Mlale Unono π
Hakika MkuuNow a days vijana wengi ni machawa, yaani ni mwendo wa kichawachawa tu....
Hakika Mkuu