devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
We ulitaka itoe moshi mwekundu??🤣🤣Wana jf msaada tafadhali ...NIKIWASHA PIKIPIKI ASUBUH inatoa moshi mweusi kidogo kisha moshi unatoweka kabisa inarudi kwenye hali yake ..nini tatizo...nipo njombe kwenye baridi
Tatizo linajitokeza asubuh pindi napowasha pikipiki...
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Fafanua kidogo hapo mkuuInakula mafuta sana ni kabureta
Kama ni moshi wa muda mfupi hilo sio tatzo sana ukizingatia chombo kikiwa cha baridi mafuta hayaungui vizuri ila kama ni endelevu hapo badilo spark plug itakua inaaga mashindanoWana jf msaada tafadhali ...NIKIWASHA PIKIPIKI ASUBUH inatoa moshi mweusi kidogo kisha moshi unatoweka kabisa inarudi kwenye hali yake ..nini tatizo...nipo njombe kwenye baridi
Tatizo linajitokeza asubuh pindi napowasha pikipiki...
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app