Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vip ulifanikiwa kutatua hii changamoto maana nami napitia changamoto kama hii kama ulifanikiwa naomba a.b,c kidogoWadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
Mpaka mwaka huu bado inagoma?Mkuu vip ulifanikiwa kutatua hii changamoto maana nami napitia changamoto kama hii kama ulifanikiwa naomba a.b,c kidogo
ndio mkuuMpaka mwaka huu bado inagoma?
Hio changamoto iliwakumba wengi mwaka jana, system ilikuwa inarecognize mnufaika ila inashindwa kusave data, ukipiga simu wakawa wana sema tu ni tatizo la kimfumo, nikadhani labda awamu hii watarekebisha duh!ndio mkuu