Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz

Hio changamoto iliwakumba wengi mwaka jana, system ilikuwa inarecognize mnufaika ila inashindwa kusave data, ukipiga simu wakawa wana sema tu ni tatizo la kimfumo, nikadhani labda awamu hii watarekebisha duh!