Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Tangu umechapia imekutwa na mvua za misimu mingapi? kama bado jitajidi kufuta kwajuu ili mvua ikipiga maji yateleze kwene ukuta nayasiingie baina ya plasta na tofali hii kuna muda inasababisha plasta kuachiana na tofali ,unakuta plasta ukiigonga inalia kama ngoma
 
Upige floor ili iweje!?
Hata ukiweka Floor huwezi kuhamia kama hujaezeka....!

Akili ni kuezeka...!
Ninacho kitaka ni kuzuia nyasi kuota humo ndani huku nikiendelea kutafuta rla ya kuhezeka mkuu
 
Na sijaelewa kwanini mdau anajenga nyumba kwa style ya kwenda nyuma kurudi mbele!?

Yaani hajapaua yeye amepiga plaster ameshaweka grilles still hajapaua anataka tena apige sakafu kwani mkuu raylin ni nini kinakufanya ukwepe kuweka paa?maana hapo unaenda kupata hasara ya plaster kama hujaezeka mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…