Vichwa vya habari
1. Wanafunzi wengi wamefeli mtihani wa kidato cha nne
2. Wanafunzi wengi wanao hitimu vyuo vikuu wanafeli kupata ajira
Walio feli wanalia nitakuja kufanya nini mim bila elimu?
Waliofaulu wanalia na elimu lakini sijapata kazi ya kufanya?
Mazazi/serikali zitasema changamka ujiajiri
na yule aliyefeli anaambiwa hakupambana kusoma??? Sasa jibu sahihi ni lipi?