Nikk Wa Pili ni mwaka wa 8 Sasa toka uimbe hautaki kazi

Amejaribu kueleza jinsi watu walivyo wanafiki, au uDC sio kazi?
 
Alikuwa anapeleka tu ujumbe, sio lazima iwe yeye.

Btw, kazi ya msanii ni kufanya 'usanii'.
 
Eti anadai "uteuzi wa Rais sio ombi ni Amri". Je, wewe binafsi unaweza kumkatalia Rais!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…