Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.

 
Safi sana

Maana masikio na ubongo ya wabongo wameingiza sana amapiano
Na masingeli
Sikia madini haya syo sijui inama nkuchomeke nkupake mafuta mara unambiwa enjoy

Ova
 
Nikki mbishi atabaki kua msanii Bora wa hip-hop Kwa kizazi cha Kati...

I'm sorry JK
Katiba mpya...

Ngoma ambazo kama Huna upeo utatoka kapa
 
Back
Top Bottom