msaniii niki mbishi yule msanii aliyesema,ameacha mziki anahojiwa muda huu clouds,fm....sogeeni kwnye redio tujue,mbichi na mbivu
anadai kaacha anaulizwa kwanini anaongea kwa,mafumbo,huku anazunguka zunguka
msaniii niki mbishi yule msanii aliyesema,ameacha mziki anahojiwa muda huu clouds,fm....sogeeni kwnye redio tujue,mbichi na mbivu
Anazunguuka zunguuka kwenye kiti?
Kuna sababu ya kuacha kazi zangu na kusogea kwenye redio kumsikikiza mvuta bangi?