Genre tofauti ....Izzo anaimba Crank na Nikki wa Pil ni HipHop . .sasa sijui unashndanishaje.....
nikki ni zaidi. izzo b anamistari laini sana. hana punch lines. style yake inawai kuboa. single pekee anayojivunia ni naongea Rizwan. kwa kifupi ni kwamba Izzo hajui mziki
Izzo ni rapa kama khalid chokoraa au kitokololo wakati nikki ni mwana hiphopNani unamkubali au unadhani nani anajua zaidi?
Ndo hapo wabongo hawaelewi wanafanya mziki kwa ajili ya biashara au kutafuta jinahuu mziki wa kibongo ukiwa pimbi huwezi toka utabaki unasifiwa na masela kama wanavyosifiwa kina nash emcee sijui takataka gani!.....kwa kuelewa hilo mkali IZZO B aliamua kubadilika na kufanya mziki unaopendwa na wengi!...!kila ngoma na kichupa kikali!mziki kama haukupi pesa basi inabidi ukupe mademu wakali!.......izzo ni mkali!...kimuonekano mpaka kwa game anayoifanya
huu mziki wa kibongo ukiwa pimbi huwezi toka utabaki unasifiwa na masela kama wanavyosifiwa kina nash emcee sijui takataka gani!.....kwa kuelewa hilo mkali IZZO B aliamua kubadilika na kufanya mziki unaopendwa na wengi!...!kila ngoma na kichupa kikali!mziki kama haukupi pesa basi inabidi ukupe mademu wakali!.......izzo ni mkali!...kimuonekano mpaka kwa game anayoifanya
HUYU izzo b HAJUI KITU ASHUKURU MUNGU ALIKUA ANAJUANA NA ADAM MCHOMVU COZ MCHOMVU AMEWAHI KUA MTANGAZAJI KULE MBEYA SO AKAMUOMBEA LABEL MJ NDO AKATUSUA..
Acha chuki binafsi,mi nilikuwa naishi Iringa.Izzo kaanza kutamba huko mikoa ya nyanda za juu kusini esp. Iringa na Mbeya wakati huo hata Adam Mchomvu simjui.Izzo kaanza kupewa promo na Clouds baadae sana wakati huo watu tunaoishi mikoa hiyo tumeshaujua uwezo wake na alikuwa kashakuwa star pande hizo.Alianza kukimbiza Mbeya na Iringa kabla hajaja mjini halafu unasema anabebwa?

mkuu kama hujaelewa kitu uwage unauliza,izzo alikua anasoma st.aggrey mbeya,kipindi hicho adamu mchomvu anatangaza radio mbeya(alikua field,alitangaza kwa miez mitatu),hapo ndio izzo akajuana na mchomvu lakin sio kivile,kama umeanza kumckia izzo kabla ya mchomvu bas we ni muongo kipind hcho mchomvu alikua anajiita "tall wa ajabu",kipind hicho mbeya na nyanda za juu kusini izzo alikua asikiki kabsa,waliokua wanatamba kwa pale ni kama TWALI B,FESTO G,MARU n.k,IZZO akaja badae,lakin kutokana na unyenyekevu wake kipindi hicho anatafta jina akawa anaiva na ma-presenter wote wa mbeya akiwemo A.MCHOMVU(TALL WA AJABU),na badae akaja dar kusoma IT ndo akaanza harakati za kutoka,akamfuata mchomvu,mchomvu akampeleka kwa M.J na kumuombea lebel na wimbo wa kwanza chini ya MJ aliomshirikisha SUMALEE(business) ndo kidogo ukamtoa,na kama ukiusikiliza ule wimbo vizur beat ndo imembeba,baada ya hapo akakorofishana na M.CHALI kwasababu alikuta CHALI kampa GODZILLA beat yake(beat ambayo GODZILLA kaimbia wimbo wa SALASALA),akaachna na CHALI na kwenda kwa TUDDY THOMAS ndo akatoa ile ngoma ya RIZONE(huu ndo wimbo sasa),..
kama unadhan IZZO ni mkali kwanini hakutoka kabla ya kuonana na MCHOMVU hapa dar,na zile nyimbo kama TENZI ZA MAPENZI,HUU MUZIKI,MI NDIO MBEYA,PISHA NIPITE e.t.c.? Mkare_wenu
hamfahamu huyu mkuu.....ndo hawa hawa wanaosema Marlaw alianza muziki alipokuja dar!
Izzo kaanza kubamba kusini huko kitambo.....viji show vya mbeya na iringa kule,ruvuma na rukwa tangu kitambo...
ila angeendelea na staili ile kutusua ingekua ndoto!!kabadilika.kaanza kufanya ''biashara'' na katusua kweli!
nyimbo kama Hukumu ya ndotoni - Rado,Homa ya dunia ya Traveller,ngoma nyingi za Hashim dogo sio za biashara!
ni wadau tu,tena tuki miss mambo magumu basi ndo tunasikiliza...............hupigi club,magoma hayapati mzuka nazo na hauko ndo kwenye biashara kweli!
so...izzo yuko poa kwa mtazamo wangu.