Show zenyewe mwisho mambasWengi mmetekwa na uongo wa ommy
Sababu kawadanganha na jinsi Watanzania wengi mlivyo na wivu na watu wenye kujituma na kutajirika mnashangiliaaaaa
OK, inajulikana ni AY aliwatambulisha Diamond na Davido
Kwanini ommy hakumtaja
Bali karukia kusema eti alikuwa wa kwanza, ni kichekesho y, sababu Davido tumeona anapiga collabo na wengine wengi kabla na baada ya Diamond.
Nawapa pole kwa kudandia kisa ni Diamond, wivu mbaya sana wengi humu hao mmekamatwa na uongo ujanja wote mfukoni mmejaa wivu.
Wivu wa maendeleo ya mtu kama Diamond, mnasikitisha sana.
Wavivu wakujiendeleza.
Ommy katafuta kiki hakuna lingine, bila Diamond wanajua hawana mwanya.
Bora hata ingekuwa wana count pesa, ila kiki uchwara. Apige show hata ya elfu moja no only kutaka kuchafua anayepaaa.
Shame
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu limekububujika weeWengi mmetekwa na uongo wa ommy
Sababu kawadanganha na jinsi Watanzania wengi mlivyo na wivu na watu wenye kujituma na kutajirika mnashangiliaaaaa
OK, inajulikana ni AY aliwatambulisha Diamond na Davido
Kwanini ommy hakumtaja
Bali karukia kusema eti alikuwa wa kwanza, ni kichekesho y, sababu Davido tumeona anapiga collabo na wengine wengi kabla na baada ya Diamond.
Nawapa pole kwa kudandia kisa ni Diamond, wivu mbaya sana wengi humu hao mmekamatwa na uongo ujanja wote mfukoni mmejaa wivu.
Wivu wa maendeleo ya mtu kama Diamond, mnasikitisha sana.
Wavivu wakujiendeleza.
Ommy katafuta kiki hakuna lingine, bila Diamond wanajua hawana mwanya.
Bora hata ingekuwa wana count pesa, ila kiki uchwara. Apige show hata ya elfu moja no only kutaka kuchafua anayepaaa.
Shame
Wapi kamtaja huyo diamond?Kwa hiyo Nikki anajaribu kusema yeye hampendi kabisa Fid q au niki mbishi au Roma?
Mimi nafikiri anajaribu kuwasemea watu kitu ambacho siyo kizuri......sio lazima wanaofanya jambo moja wachukiane....
Kama anajaribu kusema kuhusu Diamond basi ni uongo maana hadi sasa sijawai kuona msanii mwenye upendo kwa wenzie kama Diamond.
Wale wakina rich mavoko,reyvan,hamonais mond amewaweka pale kibiashara zaidi kama 50 cent alivyokuwa anafanya kwa kina the gm badae wakaona niunyonyaji wakajitoa mfano unaingiza elfu kumi we msanii yako ni elfu Mbili tu elfu nane anachukua yeye huku anakudanganya na nyumba na Gari vyote vikiwa kwa jina lake siku ukizingua unabeba begi unaondokaKwa hiyo Nikki anajaribu kusema yeye hampendi kabisa Fid q au niki mbishi au Roma?
Mimi nafikiri anajaribu kuwasemea watu kitu ambacho siyo kizuri......sio lazima wanaofanya jambo moja wachukiane....
Kama anajaribu kusema kuhusu Diamond basi ni uongo maana hadi sasa sijawai kuona msanii mwenye upendo kwa wenzie kama Diamond.
unaelewa maana ya music label? kama wamekubaliana watagawana 8:2 kimkataba, hapo kuna tatizo? kosa ni la nani? nani wa kulaumiwa? tatizo letu waswahili tuna wivu sana, Hivi unsmjua harmonise wa miaka miwili iliyopita? na Raymond wa mwaka juzi? Wako wapi waliokimbia managements zao kwa kusema wananyonywa. Start from MB dog, Nature, Kassim, Z anto, wengine wakina do go janja walipigika mpaka wakaomba msamaha. ni kwamba waswahili tuna majungu sana aisee. mtu ana nyimbo mbili, hana shows za maana ila anamiliki ndinga Kali na anaishi kwenye Nyumba nzuri full furnished na gemu ndio kwanza mwaka wa pili bado una ujasili wa kusema ananyonywa... shame!Wale wakina rich mavoko,reyvan,hamonais mond amewaweka pale kibiashara zaidi kama 50 cent alivyokuwa anafanya kwa kina the gm badae wakaona niunyonyaji wakajitoa mfano unaingiza elfu kumi we msanii yako ni elfu Mbili tu elfu nane anachukua yeye huku anakudanganya na nyumba na Gari vyote vikiwa kwa jina lake siku ukizingua unabeba begi unaondoka
Iyo card ya Gari limeandikwa jina la hao wasanii unaosema au izo nyumba hati zina majina yao? Walio karibu wanajua uliza uwambiwe.juma nature alichokuwa anafanyiwa mbona Yale Magari aliyokuwa akitembelea hatuyaoniunaelewa maana ya music label? kama wamekubaliana watagawana 8:2 kimkataba, hapo kuna tatizo? kosa ni la nani? nani wa kulaumiwa? tatizo letu waswahili tuna wivu sana, Hivi unsmjua harmonise wa miaka miwili iliyopita? na Raymond wa mwaka juzi? Wako wapi waliokimbia managements zao kwa kusema wananyonywa. Start from MB dog, Nature, Kassim, Z anto, wengine wakina do go janja walipigika mpaka wakaomba msamaha. ni kwamba waswahili tuna majungu sana aisee. mtu ana nyimbo mbili, hana shows za maana ila anamiliki ndinga Kali na anaishi kwenye Nyumba nzuri full furnished na gemu ndio kwanza mwaka wa pili bado una ujasili wa kusema ananyonywa... shame!