Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
msomi wa Phd anaandika kujizibiti na hajashtuka zaidi ya masaa 8,na hii sio typing error, anazidiwa kabisa na mtoto wa shule ya msingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa. Kua=growHivi ni kuwa au kua?
Huyu naye anapihe_d ya nn
Alafu huwa ANAHISI hakunaliyesoma zaidi yakeAnajionaga mwerefu
Ana masters ya development studies.Alafu huwa ANAHISI hakunaliyesoma zaidi yake
duh!!!!Sosholoji inatokana na neno UJI yaani Hiyo PhD yake hata watu waliokosa dira kama wema sepetu Mose Iyobo au mrisho ngasa wanaweza kusoma na kupata mabanda..
Ndiye msomi tuliye naye katika taa na sinia!msomi wa Phd anaandika kujizibiti na hajashtuka zaidi ya masaa 8,na hii sio typing error, anazidiwa kabisa na mtoto wa shule ya msingiView attachment 1247501
msomi anaandika kama mwanafunzi wa form 2 Dmsomi wa Phd anaandika kujizibiti na hajashtuka zaidi ya masaa 8,na hii sio typing error, anazidiwa kabisa na mtoto wa shule ya msingiView attachment 1247501
kuwa yeye kaandika kua,hata yule kichaa wa magogoni ana PhD lakini hawezi kutofautisha r na l,Hivi ni kuwa au kua?
got youKuwa. Kua=grow