Nikki wa pilli alamba shahada ya uzamili(Masters)

Dingi kalost na madogo wanahitaji kusoma_joh makini! Aliimba zamani kidogo na nadhani alimaansha wadogo zake kina nick na yule mwingine aliofariki. Big up joh kwa kuchukua majukumu ya mshua na kuhakiksha nick anasoma na kupata masterz. #team weusi
 
hongera nikki wa pili..daima u msanii bora kwangu..pia umetoa changamoto kwa vijana wengi wa hapa nchini..big up
 
hongera kwake nick wa pili, elimu ndio msingi wa ufaham ili kuenenda na changamoto za kimaisha
 
Dingi kalost na madogo wanahitaji kusoma_joh makini! Aliimba zamani kidogo na nadhani alimaansha wadogo zake kina nick na yule mwingine aliofariki. Big up joh kwa kuchukua majukumu ya mshua na kuhakiksha nick anasoma na kupata masterz. #team weusi

'chochote popote' kwangu huo ni wimbo bora wa hiphop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…