Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Nakutana na lafudhi za majirani zetu!
Zimetawala mpaka vijiwe vya kahawa!
Nimekaa hapa kijiweni sielewi kama hawa wanamaanisha kua wapo au hawapo!
Inamaana jamaa zetu wamelala namna hii mpaka hawa wenzao wamejaa hapa?
Jamani! Hamuioni hii aibu? Majamaa ukikaa vyema unayatambua tu?
Napata hasira sana!