Usipate hasira, hizi ni hatua za mwanzo tuu kuelekea kwenye EAC Regional Intergration tulianza na ushuru wa pamoja, sasa tuko soko la pamoja, tutakuja kwenye free labour market movement, tutakuja muungano wa sarafu na kumalizia na political federation hivyo nchi zote za Africa Mashariki kuwa ni nchi moja kubwa, hivyo badala ya kupata hasira kuyaona hayo manyang'au hapo Arachuga ni bora ukianza kujizoesha maana utafika muda itakuwa sio Arachuga tena bali ni Tanzania nzima.Nakutana na lafudhi za majirani zetu!
Zimetawala mpaka vijiwe vya kahawa!
Nimekaa hapa kijiweni sielewi kama hawa wanamaanisha kua wapo au hawapo!
Inamaana jamaa zetu wamelala namna hii mpaka hawa wenzao wamejaa hapa?
Jamani! Hamuioni hii aibu? Majamaa ukikaa vyema unayatambua tu?
Napata hasira sana!