Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ni wa hovyo sana... umejuajewewe utakuwa ni mzee wa ovyo lazima!
Hata wahuni wanazeeka mkuu!Ni wa hovyo sana... umejuaje
Sidhani maana kunivutia kavaa zile style za 95, less materialHata huyo Mwanamke uliye nae hapo,na yeye pia kuna minjemba anaitamani hapo ila anavumilia tu coz yupo na wewe hapo,
Mungu humpa kila mtu wakufanana nae.
mwambie mama ako hivo shame on you.Aisee nipo hapa kama unaenda huku kushoto na mama yenu. Yaani inapita mizigo ya hatari hatari hadi roho inaniuma.
Picha linaanza pembeni kuna mimama saizi yangu kabisa nabaki naikodolea tu.
Kuna muhudumu mmoja kaamua kunivalia aisee ni shida mara mia nane.
Naangalia kwa wiziwizi nakaribia kuumia shingo
Yupo vizuri sana ,hakuna raha kama kwenda kulewa na mama watotomin -me na Dr am 4 real PhD muijieni baba yenu wa hiari huku
Amka utajikojolea mkuuAisee nipo hapa kama unaenda huku kushoto na mama yenu. Yaani inapita mizigo ya hatari hatari hadi roho inaniuma.
Picha linaanza pembeni kuna mimama saizi yangu kabisa nabaki naikodolea tu.
Kuna muhudumu mmoja kaamua kunivalia aisee ni shida mara mia nane.
Naangalia kwa wiziwizi nakaribia kuumia shingo