Niko botwasana waswana wanashangilia sana timu yetiu

Sasa hv wa swana wanaongea lugha vibaya jamaa haelewi,subirini kesho atatuambia "kotama ay shibate"
 
Najua kuongea kitswana lugha ya Botswana wanashangilia sana msuva ,na mbwana Samata Kama Btv television ya Botswana kama mnaipata angalieni
Na huko Botswana umeenda kuongoza vikosi vya kuteka, kutesa na kuua au siyo? Masikini Wabotswana...laiti wangejua kwamba wewe ni mojawapo katika wasiojulikana hapa kwetu TZ! Wapinzani wa huko kaeni chonjo, wauaji wameingia nchini kwenu na muda si mrefu risasi zitaanza kumiminika na huko pia.
 
Tumefungwaaaaaaaa ovyooo sababu ya Bashite.siasa na mpira wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…