Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
- Thread starter
-
- #21
nafikiri umenipata vibaya rafiki yangu, katika maelezo ya mwanzo nilisema mahusiano duni na majirani na mengineyo, sasa hayo mengineyo ndo pamoja na kuogopwa.Unaona? Kwenye post kuu umesema tu maelewano mabaya hukusema kuogopwa funguka bana.
kitty galore, unasahau kwamba mtoto wa nyoka ni nyoka? Kama hizo taarifa ni za kweli kwa mama yao alimuua baba siku nikimweka ndani zamu ya kufa itakuwa ya nani?
mh ndugu yangu, nimempata mtt afu yanazuka maneno kama hayo, hata we ungeacha kuogopa?SH leo umelikorogoa hiyo title na humu ndani havina hata chembe ya uhusiano kabisa...................................Uchawi watokea wapi hapo??..............Acha longolongo..........................hao wanaokwambia ni wachonganishi na walikuwa wanamtaka huyo msichanaKwani mtu akifa ndo karogwa??
thanx njiwa.Man ukiwasikiliza wahenga kamwe hutokuja kuendelea .. take your chances ulivyomsifia hata mimi nadhani huyo mtoto si haba ni mzuri
natafuta visa tu, siwezi kuachana nae bila sababu.
nikimkuta hata na kaka yake nampiga msimbazi!Kisa gani tena si hicho ulichokipata
nikimkuta hata na kaka yake nampiga msimbazi!
mh ndugu yangu, nimempata mtt afu yanazuka maneno kama hayo, hata we ungeacha kuogopa?
sijaweka hata punje la wivu, ful uoga.Ha ha ha pole weeeeeeeeeeeee wivu tu huo
niniiiiii!!!!!!Mmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiki ndicho Mungu kawanyima warembo wa Arusha pamoja na uziri wote walio nao!Mtoto smile!!Mtoto meno meupeee!!
wasalaam MMU!
kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.
Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!
Mtoto wezereee!!
Mtoto unywele!!
Mtoto smile!!
Mtoto meno meupeee!!
Mtoto mguu!!
Dahhhh!!
na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!
Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!
Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi?
Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.
ahsanteni.
so hakuna uchawi?hv uchawi ni nini? Nani kauona? Nani kathibitisha kwamba huu ni uchawi? Na hao waliojua kuwa huyo binti kwao wachawi walijuaje? Maana daktari anamjua daktari mwenzie, mhasibu anamjua mhasibu mwenzie, wachawi je?
oya kifulambute, nipe shule mtu wangu koz naona we ndo mtaalamu wao.Na wewe kuwa mchawi muendane nae tena wewe ndio uwe kiboko yake unaruka na ungo hata mchana ili akuogope na yeye then mna reconcile.
nimeambiwa nikijaribu tu kuachana nae bila sababu ya msingi atanimaliza.ina maana hujiamini unamtafutia visa vya kitoto.........kwani huwezi kumweleza sikupendi tena na uhusiano ukaisha kama unaogopa kumweliza hayo maigizo ya uchawi
thanks alotmkuu kwanza hapo red sijaelewa what did u min? Pili mkuu mie nitakupa mfano mmoja tu sie tuliokulia vijijini....mama angu mzazi kabisa alisemwa ni mchawi sababu eti hakupenda kukaa na wanawake wenzake muda wote(I mean hakupenda majungu), watoto wake i mean kina mimi, dada zangu na kaka zangu hakuna hata mmoja aliewahi kufariki ila majirani walifariki....mkuu oa mke huyo wivu wa majirani zake usikutie WAZIMU......
imani yako itakuponya! Wewe uchawi ulishawahi kuuona?au ulishashuhudia mchawi akiwaanafanya huo uchawi?so hakuna uchawi?