Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,760
- 6,921
Sales of goods act inasema 'buyer beware'.Mkuu kama jamaa yako katenda jinai, acha sheria ichukue mkondo wake ili haki juu yake ipatikane.
Sidhani kama wale waathirika wa matendo yake pale aliowatapeli mamilioni ya fedha zao kama watakuelewa kutokana na ombi lako la msamaha juu yake!

Kwa muoga kulienda kicheko na kwa shujaa kulienda kilio. Hata mimi huyu Askofu Dk. Gwajima ni mwanafunzi wangu nikimfundisha Buswelu Sekondari kipindi Ikiwa chini ya Bodi ya Pamba.Niko hapa napata kinywaji ili kumalizia wikiend, ghafla namkumbuka Dr Manguruwe!
Hawa ni moja ya madogo niliowalea kiroho kipindi tunasoma sekondari kule Mbeya.
Simon alikuwa ni mmoja ya watoto wazuri, mtiifu na mnyenyekevu aliyefuata maadili ya kiroho.
Kifupi, alikuwa ni moja ya vijana niliokuwa najivunia.
Baada ya kupotezana naye kwa miaka mingi, nilikutana naye Chanika kwenye mwaka 2017 akasimamisha gari yake aina ya Prado, akanielezea mishe zake za kuwawezesha wakulima katika kilimo cha papai.
Baada ya miaka michache mbele, nikaanza kumuona kwenye Tv na mitandaoni.
Kwa kweli mwenendo wake ulikuwa umebadilika na alikuwa siyo yule tena niliyemfahamu.
Nikajisemea moyoni kuwa kwa mwenendo huu, kijana hatofika mbali.
Na kweli. Hivi sasa Simon yuko sehemu mbaya.
Nasikitika kumuona mdogo wangu anapata shida, anasota gerzani nikiwa sina namna nzuri ya kumsaidia.
Hivyo nakuomba mh Raisi, ikikupendeza, umuelekeze DPP, aweze kumalizana na huyu dogo nje ya mfumo wa mahakama ili dogo aweze kurudi uraiani, kwani ana majukumu na familia iko inateseka.
Wasalaam.
View attachment 3693138
Kwa neno lako, nimeondoa picha.Umezungumza vizuri nina swali umesema miemdendo yake ilibadilika uliona nini na ondoa hiyo picha au vipi?
Aah. Nilijua tu kuwa njaa zinamsumbua. Nothing serious.Umezungumza vizuri nina swali umesema miemdendo yake ilibadilika uliona nini na ondoa hiyo picha au vipi?
Mkuu, nalalaje wakati wanafunzi zaidi ya laki nne wamehitimu masomo ya kidato cha nne na baadhi yao wanaingia kwenye soko la ajira?Lewa ukalale
Kwahiyo alikosea au hakukosea?Sales of goods act inasema 'buyer beware'.
So kosa sio la Simon peke ake. Buyers should have been ware by seeking more clarification before they decided to invest.
Mkuu, nalalaje wakati wanafunzi zaidi ya laki nne wamehitimu masomo ya kidato cha nne na baadhi yao wanaingia kwenye soko la ajira?Lewa ukalale
Mimi sijui. DPP, ataamua.Kwahiyo alikosea au hakukosea?
Shauri ahamie Chitipa atakuwa salama zaidi.Niko hapa napata kinywaji ili kumalizia wikiend, ghafla namkumbuka Dr Manguruwe!
Hawa ni moja ya madogo niliowalea kiroho kipindi tunasoma sekondari kule Mbeya.
Simon alikuwa ni mmoja ya watoto wazuri, mtiifu na mnyenyekevu aliyefuata maadili ya kiroho.
Kifupi, alikuwa ni moja ya vijana niliokuwa najivunia.
Baada ya kupotezana naye kwa miaka mingi, nilikutana naye Chanika kwenye mwaka 2017 akasimamisha gari yake aina ya Prado, akanielezea mishe zake za kuwawezesha wakulima katika kilimo cha papai.
Baada ya miaka michache mbele, nikaanza kumuona kwenye Tv na mitandaoni.
Kwa kweli mwenendo wake ulikuwa umebadilika na alikuwa siyo yule tena niliyemfahamu.
Nikajisemea moyoni kuwa kwa mwenendo huu, kijana hatofika mbali.
Na kweli. Hivi sasa Simon yuko sehemu mbaya.
Nasikitika kumuona mdogo wangu anapata shida, anasota gerzani nikiwa sina namna nzuri ya kumsaidia.
Hivyo nakuomba mh Raisi, ikikupendeza, umuelekeze DPP, aweze kumalizana na huyu dogo nje ya mfumo wa mahakama ili dogo aweze kurudi uraiani, kwani ana majukumu na familia iko inateseka.
Wasalaam.
Kuna siku Mr Manguruwe alienda na Mr Mwanya huko Dodoma kwenye mabanda ya Nguruwe ili kuchukua ushahidi. Mr Mwanya akaanza kusema ameenda kuwekeza kwa Mr Manguruwe takribani milioni 500. Sasa ukiangalia yale mabanda hayaoneshi hizo milioni 500. Ikawa ni kama vile wanachekesha tu!Niko hapa napata kinywaji ili kumalizia wikiend, ghafla namkumbuka Dr Manguruwe!
Hawa ni moja ya madogo niliowalea kiroho kipindi tunasoma sekondari kule Mbeya.
Simon alikuwa ni mmoja ya watoto wazuri, mtiifu na mnyenyekevu aliyefuata maadili ya kiroho.
Kifupi, alikuwa ni moja ya vijana niliokuwa najivunia.
Baada ya kupotezana naye kwa miaka mingi, nilikutana naye Chanika kwenye mwaka 2017 akasimamisha gari yake aina ya Prado, akanielezea mishe zake za kuwawezesha wakulima katika kilimo cha papai.
Baada ya miaka michache mbele, nikaanza kumuona kwenye Tv na mitandaoni.
Kwa kweli mwenendo wake ulikuwa umebadilika na alikuwa siyo yule tena niliyemfahamu.
Nikajisemea moyoni kuwa kwa mwenendo huu, kijana hatofika mbali.
Na kweli. Hivi sasa Simon yuko sehemu mbaya.
Nasikitika kumuona mdogo wangu anapata shida, anasota gerzani nikiwa sina namna nzuri ya kumsaidia.
Hivyo nakuomba mh Raisi, ikikupendeza, umuelekeze DPP, aweze kumalizana na huyu dogo nje ya mfumo wa mahakama ili dogo aweze kurudi uraiani, kwani ana majukumu na familia iko inateseka.
Wasalaam.
Hili nalo no bomu ambalo lilizungumzwa sana tangu enzi za Kikwete kwamba ipo siku litaripuka. Mwaka jana likaripuka kidogo.Mkuu, nalalaje wakati wanafunzi zaidi ya laki nne wamehitimu masomo ya kidato cha nne na baadhi yao wanaingia kwenye soko la ajira?
Juzi tulitangaziwa wanafunzi mili 1.7 wamemaliza darasa la saba, pia tukatangaziwa zaidi ya wanafunzi milioni nne wanafanya mitihani ya darasa la nne na la pili?
Future ya hawa watoto wote ni kitu kinacho ninyima usingizi hasa nikijiuliza, tutawasaidiaje pindi wanapoingia kwenye soko la ajira? Nihurumie at some point ili nami niweze kupata usingizi.
Sure mkuu kama kuna uwezekano wa wenye mamlaka kumpa msamaha kisheria (sijui ndo prebargaining), nami nawaomba wafanye hivo. Kwa mtu anaemfaham Simon wa IYUTE na huyo Simon aliyekuwa na hayo mambo yaliyomletea changamoto ni watu wawili tofauti. Jamaa alikuaga na tabia njema sana, na tena church boy.Niko hapa napata kinywaji ili kumalizia wikiend, ghafla namkumbuka Dr Manguruwe!