Niko hapa kumuombea msamaha Simon Mkondya, aka D.r Manguruwe

Simon ni kijana mwenye akili nzuri. Idea aliyokua nayo ikllikua nzuri sana kwamba anaanzisha kilimo bias hara katika zao la vanila. Pengine kama suala au changamoto ilikua ni mtaji angewaalika watu wachache wawekeze pamoja kwa makubaliano ya kufanya kazi pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho

Tatizo aliingiza tamaa akakodisha ofisi Mlimani City na akaanza kuchukua pesa za watu sio wafanye kilimo pamoja bali yeye awalimie na wao wakiwa mjini basi baada ya miezi michache wakachukue pesa zao na faida

Hapo sasa akajiingiza katika mpango wa pyramid au Ponzi scheme. Anachukua pesa za watu kumi wa mwanzo ĥalafu anawalipa watu watatu au wanne wa mwanzo na kuwapa tamaa wengine kua uwekezaji huo unalipa

Tatizo kwenye kesi yake mashahidi upande wa mashitaka wamemlilia sana. Ida Odinga amepambana kama Simba
 
Kusoma kufuta ujinga masuala ya ajira ni bahati
 
Sales of goods act inasema 'buyer beware'.
So kosa sio la Simon peke ake. Sheria inamtaka mnunuzi au muwekezaji kujiridhisha na mazingira ya uwekezaji Buyers should have been aware by seeking more clarification before they decided to invest.
Ni utapeli bwana hakuna cha Sales of Goods Act hapo
 
Manguruwe ni tapeli mkubwa ana walalamikaji 160 halafu wanamdai 90m angekua ana Toyota Landcruiser Prado si angekua katoka sasa? Yuko behind bars bado ana act kukutuma wewe wew umsifie? Siku moja Nilienda Segerea kumtembelea mtu nilikuja kugundua Manguruwe amekua Chizi kumbe amekonda balaa.
 
Eeh noma sana
 
Ukiyaingia maisha ya mjini kwa ujuaji mwingi lazima utapata matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…