Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana

Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana

IBHF

Member
Joined
Jan 8, 2022
Posts
75
Reaction score
130
Habari, hopefully mko salama katika kila jambo jema, mimi pia.

Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana, uzoefu na kadha wa kadha. Mmi ni Mwanaume, muajiriwa na msomi level ya Shahada ya 1. Ninapenda Muziki, Kuogelea, Safari, upepo ktk fukwe, Mpira wa Miguu, Pete, Kusafari na vitu vingine vema. Ninaishi Dar Es Salaam. NIMEOA. Hivyo, tafadhali kwa Rafiki naomba unitumie ujumbe Private nami nitakufikia mara.

Asanteni.
 
.......... Kimasihara....

Loading...........................
 
Huko mtaani kwenu umekosa hao marafiki wa kujengana?
 
Kumbe ule urafiki wa kalamu muhimu sana ile sectiom irudiwe.
 
unataka mjenge vyumba vingapi
Sijafikiria kujenga nyumba kwa sasa, ila nimebarikiwa kuwa na nyumba 2 moja ya vyumba 02 na nyingine 03. Ila plans za kuongeza nyumba nyingine zipo kuanzia 2023. Karibu!
 
Back
Top Bottom