Huo nao ni aina ya urafiki ulioota miziziWenye lengo la kubomoana hawaruhusiwi
Nasisitiza.
Sure thing.Wenye lengo la kubomoana hawaruhusiwi
Nasisitiza.
Ndugu, wewe unamarafiki wa mtaani pekee! Hongera.Huko mtaani kwenu umekosa hao marafiki wa kujengana?
Sijafikiria kujenga nyumba kwa sasa, ila nimebarikiwa kuwa na nyumba 2 moja ya vyumba 02 na nyingine 03. Ila plans za kuongeza nyumba nyingine zipo kuanzia 2023. Karibu!unataka mjenge vyumba vingapi